Rais Dkt. Mwinyi amemtunuku, Dkt. Shein nishani ya Mapinduzi ya mwaka 1964.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemtunuku Nishani ya Mapinduzi ya mwaka 1964, Dk. Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu wa Awamu ya Saba.Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu, Mnazi Mmoja Zanzibar na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Serikali,